Habari

Video: Ardo King – All I Have

Rapper wa Tanzania aishiye Chicago nchini Marekani, Ardo King, ameachia video ya wimbo wake, All I Have.

https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=vQg26Q6ms2Y

Ardo ambaye hivi karibuni alikuja nchini ameiambia Bongo5, “Natarajia kukimbia jijini Chicago mwanzoni mwa wiki inayoanza J3 Mara moja kwa shughuli maalum na kurejea tena nchini lakini video hii itaanza kuruka katika vituo vya TV za kibongo soon, mara baada ya kuwasili U.S na kuanza kazi ya kuisambaza. Nawaomba marafiki na fans wangu wanisaidie kuisogeza mbele sanaa yangu na kunitia moyo endapo kazi yangu inawagusa na kuwaburudisha kiukweli.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents