Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Video: Ariana Grande & John Legend – Beauty and The Beast

By  | 

Msanii Ariana Grande na John Legend wameachia video yao mpya ya wimbo “Beauty and the Beast” hii ni rekodi ya mwaka 1991 waliyofanya upya.

Wimbo huu awali ulifanywa na Celine Dion na Peabo Bryson mwaka 1991 na kushinda tuzo mbili za Grammys, Oscar moja na Golden Globe moja.

Huu wimbo utakuwa katika Filamu mpya ya “Beauty and the Beast” iliyoigizwa na mastaa Emma Watson, Dan Stevens,na Ewan McGregor inatoka March 17 2017.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW