Soka saa 24!

Video: Avril opens up about her first kiss, boyfriend and more

Hii ni episode ya saba ya ‘Famous Minutes’ ya NiajeTV inayoandaliwa na website ya niaje.com ya Kenya ambapo mrembo Nyambura Mwangi maarufu zaidi kama Avril, anazungumzia masuala kibao yakiwemo, busu la kwanza na mpenzi wake wa kwanza, perfume anayoipenda, msanii anayemvutia, jiji analopenda kwenda nk.

Kilichotushangaza zaidi ni kuwa licha ya mafanikio aliyonayo mrembo huyu hana gari.

Courtesy of Niaje.com

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW