Burudani
Video: Azam TV wafunguka kuhusu ubalozi wa Lulu
Kampuni ya Azam Media wamezungumza kuhusu Elizabeth ‘Lulu’ Michael ambaye alikuwa balozi wa Sinema Zetu International Film Festival Awards (SZIFF), Lulu kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka miwili jela.