BurudaniDiamond Platnumz

Video: Baada ya kukuletea vigezo 5 kama unataka kuwa kama Diamond, Omondi akuletea mpya kama unataka kuwa Akothee

Mchekeshashaji anayekuja juu kwa kasi Afrika Mashariki, Eric Omondi kutoka Kenya baada ya kufanya vizuri na kichekesho chake kinachoonesha mambo muhimu unayopaswa kuyazingatia kama unataka kuwa Diamond, Jumanne hii amekuletea vitu muhimu unavyotakiwa kufanya kama unataka kuwa muimbaji wa Kenya, Akothee.

Hii hapa chini kama unataka kuwa Diamond.

https://youtu.be/f6DXc8cGMYA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents