Burudani ya Michezo Live

VIDEO: Baada ya sare na Mbeya City, mashabiki Yanga wamgeukia Haji Manara ”Refa anaingia uwanjani anatucheka”

Baadhi ya mashabiki wa klabu ya Yanga wameendelea kuwalalamikia waamuzi baada ya kumalizika kwa mchezo wao wa hapo jana usiku dhidi ya Mbeya City. Mashabiki hao hakuacha kuwazungumzia hasimu wao Simba SC hasa kauli yao ya kusema itawachukua miaka 10 ndiyo Wanajangwani hao watachukua Ubingwa.

“MIKIA NDUGU ZETU HAWANA FIRST 11, MORRISON amefanyiwa UNYAMA, tunaumia ,” – MASHABIKI WA YANGA

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW