Habari

Video: Baadhi ya mitaa ikionekana kuathiriwa na mvua jijini Dar, waokota makopo wadai kwao neema

Mvua kubwa imenyesha katika baadhi ya mitaa ya jiji la Dar Es Salaam hali iliyosababisha adha kwa wakazi wa maeneo hayo. Bongo5 imeingia mtaani na kukuangazia hali ilivyokuwa katika sehemu mbalimbali ya mji.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents