Shinda na SIM Account

Video: Bahati wa Kenya amfagilia Diamond kwenye hili

Msanii wa muziki wa injili kutoka nchini Kenya, Bahati ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya EMB, amemfagilia Diamond Platnumz kwa kuwa msanii wa kwanza Afrika Mashariki kuanzisha lebo yake ya muziki ya WCB na kuisimamia mpaka imeweza kufahamika sehemu mbalimbali.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW