Burudani

Video: Barakah The Prince asaidiwe kuandika nyimbo – Bright

Msanii wa muziki Bongo, Bright amesema Barakah The Prince asaidiwe kwa namna yoyote ile katika uandishi wa ngoma zake kutokana na baadhi ya maneno kujirudia.

Muimbaji huyo ametolea mfano neno ‘Moyo’ kwa kusema limekuwa likijirudia mara nyingi katika ngoma za Barakah hadi anashindwa kuelewa iwapo ana tatizo la moyo.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents