Burudani
Video: Barnaba Classic – Nyang’a Nyang’a
Msanii wa muziki, Barnaba Classic ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Nyang’a Nyang’a’. Video ya wimbo huo imeandaliwa Visiwani Zanzibar chini ya director Msafiri kutoka Kwetu Studio.