Burudani

Video: Behind-the-scenes ya video ya Diamonds ya Rihanna

http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=kmEpWLolweE&noredirect=1

Kituo cha runinga cha MTV jana kimetoa video ya behind-the-scenes ya wimbo mpya wa Rihanna, Diamonds ambao ni wa kwanza kutoka kwenye albam yake ijayo, Unapologetic.

Video hiyo inaonekana kama kuna vita na majanga na Rihanna akichukua some sexy scenes kutoka kwenye jangwa.

Wakati huo huo, mrembo huyo leo (Nov 8) anatarajiwa kwenda kwenye ofisi za Facebook za New York City kufanya interview ya kwanza kupitia Facebook.

Staa huyo atazungumzia inakuaje kuwa na watu wengi zaidi waliolike page yake ya Facebook kuliko mtu yeyote (mashabiki 62,251,725) na kuhusu albam yake mpya. Mashabiki wake wanaweza kuwasilisha maswali kupitia ukurasa wa Facebook na pia kuiangalia interview hiyo live http://facebookcom/facebooklive.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents