Tia Kitu. Pata Vituuz!

Video: Bernard Morrison anauzwa ?, Mchambuzi Abbas Pira azungumzia

Mchambuzi wa soka nchini, Abbas Pira amesema kuwa Mabingwa wa Kihistoria Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Yanga SC kama watamuuza nyota wao Bernard Morrison wataweza kupata fedha nyingi sana, kutokana na uwezo wake mkubwa ambao anaendelea kuudhihirisha pindi awapo uwanjani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na tetesi za mchezaji huyo kuuzwa katika klabu ya TP Mazembe ya DRC Congo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW