Muimbaji, Bexy ambaye anadaiwa kuwa na bifu na Barakah The Prince wiki hii ameachia video ya wimbo Mashenga. Video ya wimbo huo imeandaliwa na Director, Pongwa huku audio ikiandaliwa na Fredon X Nevil. https://www.youtube.com/watch?v=ynuEAIwz5oE&feature=youtu.be