Burudani

Video: Big Sean amdiss Donald Trump kwenye freestyle ya Hot 97

Baada ya kumpa nafasi Eminem kumchana Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump kwenye wimbo wa ‘No Favors’ rapper Big Sean ameamua kumdiss Rais huyo kwenye kipindi cha Hot 97 freestyle.

Trump amekuwa akikutana na kila aina ya maneno ya kashfa kutoka kwa wananchi wengi duniani wanaoongozwa na mastaa wakuubwa wa Marekani kutokana na sera zake zinazoonekana kutotenda haki kwa baadhi ya watu wakiwemo wanawake.

Kupitia kipindi hicho, rapper Sean amemchana Trump kwa kuimba, “I know Ye proud of me, he took me out of debt. I know Jay proud of me, he put this ’round my neck / And I might just kill ISIS with the same icepick / That I murder Donald Trump in the same night with,” amerap Sean kwenye freestyle hiyo.

Tazama video hiyo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents