Burudani

Video: Bill Nass afichua chanzo cha ‘Sina Jambo’

Msanii wa muziki Bongo, Bill Nass ameelezea mwanzo wa ngoma yake mpya ‘Sina Jambo’.

“Ilikuwa mizuka ya studio kwa sababu hii beat alinitumia Daxo Chali mwaka jana zilikuwa beat kama mbili/tatu, kwa hiyo kati zile beat niliona hii ina kitu, inaweza kunipa flow mpya na kitu fulani kipya na ngoma ngoma ya feeling kamba nipo na wanangu toka sina kitu,” Bill Nass ameiambia Bongo5.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents