Burudani

Video: Black Rhyno aiongelea ngoma mpya ‘We Get It On’ aliyofanya na Wasouth

Black Rhyno amepita kwenye studio za Bongo5 kutueleza kuhusu kazi yake mpya aliyowashirikisha rapper wa Afrika Kusini Ishmael & Youngboi Veezo, We Get it on. Ngoma ilitayarishwa na Dj Leo Large.

Itazame ngoma hiyo hapo chini.

https://www.youtube.com/watch?v=-vrVBdbjbJA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents