Burudani

Video: Bosi wa Vodacom awafunika wafanyakazi wake kucheza Singeli

Jumanne hii kampuni ya Vodacom imezindua huduma yake mpya ya pando jipya waliyoipa jina la Pindua Pindua. Katika uzinduzi huo kivutio kikubwa alikuwa ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Ian Ferrao ambaye alionyesha uwezo mkubwa wa kusakata rumba la Singeli na kuwafunika wafanyakazi wake. Tazama video hiyo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents