Videos

Video: Bushoke – Goma la Ukae

By  | 

Msanii Bushoke ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Goma la Ukae’. Wimbo umetayarishwa na Abby Dady, wakati huo huo video imeongozwa na Kwetu Studios.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments