Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Video: Calissa afunguka ishu ya kubadili jinsia

Mwanamitindo wa kiume Bongo, Calissa amefunguka kwa kudai hawezi kubadili jinsia.

“Siwezi kuuza utu wangu kwa ajili ya pesa, yaani siwezi kuuza uwanaume wangu kwa ajili ya pesa, siwezi kubadilishwa kuwa mwanameke” Calissa ameiambia Bongo5.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW