Michezo

Video: Cheka ashindwa vipimo baada ya kuzidi uzito

Bondia, Cosmas Boniphace Cheka ambaye ni mdogo wa mwanamasumbwi mwenye jina kubwa nchini, Francis Cheka amejikuta katika hatihati hii leo wakati akijiandaa na pambano lake la kuwania mkanda wa International Champions baada ya kukutwa na uzito mkubwa zaidi ya ule uliyotakiwa wa kilo 59 na kulazimika kupunguza muda huo huo kwa kufanya mazoezi ya kuruka kamba.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents