Videos
Video: Chichi Chadara x Computer – Nisamehe
Msanii Chichi Chadara ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Nisamehe’ akiwa na Computer. Wimbo umetayarishwa na Mr T-Touch wakati video imeongozwa na Msafiri wa Kwetu Studio.
https://youtu.be/b5CKi8Mg-x4