Shinda na SIM Account

Video: Chuo cha Emanuel Austin kimeachia dancing video nyingine, wagusa wimbo wa Cardi B

Tanzschule Weiss ambacho kinafundisha dansi kinachomilikiwa na Mtanzania Emanuel Austin na mkewe Larissa Bertsch, kimeendelea na mfululizo wa kuachia video zao za kudansi kupitia nyimbo za mastaa wakubwa duniani.

Safari hii wameachia video dancing ya wimbo wa ‘Bartier Cardi’ wa Cardi B ambao amemshirikisha 21 Savage. Video hiyo ina urefu wa sekunde 41.

Tazama video hiyo hapa chini.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW