Habari

Video: Ciara aonjesha vipande vya video zake mbili ‘Sophomore’ na DUI

Baada ya DUI, Ciara ametoa tena kionjo cha video ya pili kati video tano za nyimbo zake mpya alizopanga kutoa. Kwenye video hii ya wimbo ‘Sophomore’ ambayo ilioneshwa jana kupitia E! News, muimbaji huyo mrembo huyo anaonekana akiwa na nywele za hivyo hivyo huku akichana chana magazeti.

Tazama DUI hapa

https://www.youtube.com/watch?v=EOHqD2mPbhY

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents