Habari

Video: CNN wamlilia Bi. Kidude, salamu nyingi za rambirambi zazidi kumiminika

Msiba wa marehemu Bi. Kidude si wa Tanzania tu bali ni wa dunia nzima. Mashirika makubwa ya utangazaji duniani yamewahi kufanya naye mahojiano kutaka kupata historia yake ya kuvutia. Hivi karibuni kituo cha CNN kilimtembelea Bi. Kidude nyumbani kwake Zanzibar na kumhoji. Mtangazaji wa CNN aliyefanya naye mahojiano kwenye kipindi cha Inside Africa, Errol Barnet ni miongoni mwa watu waliosikitishwa na msiba huo.

Kupitia Twitter, Errol ameandika: RIP #BiKidude: Zanzibar’s famed singer has passed. I will always remember the way she sang to me.” Pia mtangazaji huyo ameweka video ya mahojiano yao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents