Burudani
Video: Daddy Face ft Christian Bella – Come Back
Msanii wa muziki kutoka nchini Burundi, Daddy Face ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake, ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Come Back akiwa amemshirikisha mkali wa masauti, Christian Bella.