Burudani
Video: Dakika 15 za Lady Jaydee akitumbuiza mbele ya wapendanao
Mwanamuziki Lady Jaydee amewakosha villivyo mashabiki wake pale alipokuwa akitumbuiza katika show yake ‘Valentine Day Na Lady Jaydee’ ambayo imefanyika usiku wa kuamkia leo Serena Hotel Dar es Salaam.