Burudani

VIDEO: Diamond afunguka machungu anayopitia kuwasiliana na watoto wake Afrika Kusini “Mobetto muelewa, Zari Kani-block siwaoni watoto”

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa kwasasa hana uwezo wa kuwaona watoto wake wa Afrika Kusini , Tiffah na Nillan, kwenye mitandao ya kijamii kwani mama yao amem-block asiwaone.

Diamond akiongea na waandishi wa habari leo Jumanne 25, 2019 amesema kuwa kuna kipindi walikuwa wanawasiliana na mzazi mwenzie Zari na kuongea na watoto wake ila kwasasa hata email hajibiwi.

Kwa upande mwingine, Diamond amemsifia mzazi mwenzie wa pili, Hamisa Mobetto kwa kusema kuwa ni muelewa kwani hana usumbufu wowote pindi anapotaka kuonana na mwanae, Dylan.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents