Burudani

Video: Diamond alivyowaimbisha Hallelujah Wazanzibar

Usiku wa Jumamosi hii Diamond Platnumz ametumbuiza katika uwanja wa Amaan katika Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar katika tamasha la kusherehekea kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na maadhimisho ya kifo cha Hayati Mwalimu Julius Nyerere.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents