Burudani

Video: Diamond na Alikiba ni kama Simba na Yanga, waachwe – Nape

By  | 

Mbunge wa jimbo la Mtama kupitia tiketi ya CCM, Nape Nnauye amefunguka kwa kunanusha kushindwa kuwapatanisha wasanii Alikiba na Diamond ambao wanadaiwa kuwa na bifu kwa muda mrefu. Amesema wakati akiwa Waziri wa Habari alitaka kutumia timu ya Serengeti Boys kwaajili ya kuwaonganisha wasanii hao lakini ndoto hiyo ilishindikana baada ya kuvuliwa nafasi hiyo.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments