Aisee DSTV!

Video: Dina Marious aja kivingine, Mpoki na Msami ndani

Mtangazaji wa radio kutoka E-FM, Dina Maroius ametangaza rasmi ujio wa tamasha kubwa la watoto siku ya Jumamosi mwaka huu, Juni 30 katika viwanja vya post Jijini Dar es salaam. Akiongea na waandishi wa habari leo, Dina ameeleza kuwa tamasha hilo lina lengo la kuwapa watoto nafasi ya kukutana na kufurahi pamoja pia litashereheshwa ma mchekeshaji Mpoki na msanii wa muziki Msami Baby.


Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW