Burudani

Video: Dj Cypher wa Nigeria adai Alikiba na Diamond hawakamatiki kwao

Dj Cypher kutokea nchini, Nigeria amesema Diamond na Alikiba ndio wasanii kutoka Tanzania wanaofanya vizuri zaidi na kutazamwa nchini humo.

Dj huyo ambaye ameletwa Bongo na Maisha Basement Club ameongeza kuwa akiondoka ataenda kutambulisha wasanii wengine wa Bongo kutokana ameona wanafanya kazi nzuri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents