Burudani
Video: Dj Sinyorita akiwazungumzia Dj Fetty, Steve B na PQ
Dj Sinyorita ambaye mara nyingi amekuwa akisikika katika kipindi cha XXL cha Clouds Fm amefunguka jinsi Dj Fetty, Steve B na PQ walivyochangia kumjenga hadi kufika hapo alipo sasa.