Habari

Video: Dkt Shein alivyokagua miradi ya maendeleo Mjini Magharibi Jumamosi hii

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein ameanza ziara yake ya kwanza ya siku tatu kukagua miradi ya maendeleo ya serikali inayofanywa katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini kisiwani humo. Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na uwanja mpya na wa kisasa wa michezo ujulikanao kama Mao, mradi wa kuzuia kasi ya mawimbi ya bahari uliopo katika eneo la Kilimani – Kizingo, mradi wa kuweka jiwe la msingi jengo la chuo cha utalii kiliopo Maruhubi (ZIToD) pamoja na kuzindua tawi la CCM lililopo Jang’ombe. Tazama video ya ziara hiyo hapa chini.

Na Laila Sued na Salum Kaorata

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents