Burudani

Video: Dogo Janja abambwa chumbani akiwa na mke wake Uwoya ‘tulikuwa tunayajenga’

Msanii wa muziki wa hip hop, Dogo Janja pamoja na mke wake ambaye ni muigizaji wa filamu, Irene Uwoya wameonekana hadharani kwa mara ya kwanza baada ya wawili hao kudaiwa kwamba wameachana.

Jumatano hii wawili hao walivamiwa na mtazamaji wa Clouds FM na kukutwa wakifanya mazungumzo.

Baada ya mtangazaji huyo kuingia, Dogo Janja amedai hakuwa na taarifa kama kuna mtu yoyote anakuja hivyo ameshtukizwa huku akidai yeye na mke wake huyo walikuwa wanafanya mazungumzo.

Wawili hao wiki iliyopita walidaiwa kwamba wameachana kutokana na kila mmoja kufanya kazi kivyake pamoja na vijembe vya mitandaoni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents