Video: Dokta wa ‘Texas Cancer’ aeleza majibu ya Diamond baada ya kumualika

Dkt. Catherine Mwingesa ambaye ni daktari Mkuu wa Hospitali ya Texas Cancer Center ya Kenya inayotoa matibabu ya ugonjwa wa Saratani, ameeleza walichojibiwa na Diamond Platnumz baada ya kumualika kutembelea kwenye Hospitali hiyo Marchi 15 mwaka huu na mipango yao ya kufungua kituo kama hicho hapa Tanzania.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW