Aisee DSTV!

Video: Dudu Baya afunguka maana ya ‘Konki Konki Konki Master’ amtolea mfano Rambo na Arnold Schwarzenegger 

Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop nchini Dudu Baya amefunguka maana ya ‘Konki Master’, hii inakuja mara baada ya msemo huo kujizoelea umaarufu kwa muda mfupi tu tangu alipoutumia.

”Konki ni mtu aliyefuzu vikwazo vingi, Konki ni mwanaharakati naweza nikasema kwenye ‘moves’ wakina Arnold Schwarzenegger wakina Rambo, Cheni, ukija hapa kwenye muziki wakina Bi Kidude hao ni Makonki, Mzee Zahiri Zoro babake Banana Zoro wamepita kila aina ya matukio ya vita. Sasa Konki hii ni lazima uitamke mara tatu Konki Konki Konki Master.”

Dudu baya ameeleza maana ya Konki Master wakati alipohojiwa na Bongo5 muda mchache tu baada kutangazwa kwamba atakuwa kwenye tamasha la Wasafi Festival.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW