Burudani

Video: Ebitoke, Bwana Mjeshi kama Diamond, kuzindua filamu yao Kenya

Kundi la Timamu ambalo lina wakali kibao kwa upande wa uchekeshaji kama Ebitoke na Bwana Mjeshi wanatarajia kuachia filamu yao mpya inayokwenda kwa jina la Sema nchini Kenya. Uzinduzi huo utafanyika mwanzoni mwa June mwaka huu. Wasikilize hapa.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents