Video: Elizabeth Michael ‘Lulu’ awachana wasanii wa Filamu

Muigizaji nyota katika kiwanda cha Filamu Tanzania, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu ameshangazwa na wasanii wenzake wa filamu ambao wameshindwa kufika katika mkutano uliolenge kuwakutanisha wasanii hao na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe.

Akiongea na Bongo5, Lulu amesema kuwa endapo msanii hajaja katika mkutano hupo uliolenga kuikomboa tasnia hiyo kwa dharula basi ni vyema ila kama ameamua tu huyo mtu ana matatizo.

“Siwezi kuzungumzia kwa nini mtu hajaja, ila kama mtu hajaja kwa kuwa adharura muhimu ni sawa ila kam ameamua kuto kuja basi that person is not okay,” amesema mrembo huyo.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW