Soka saa 24!

Video: Ellisha James – Bei Yake

Video ya rapper Ellisha James ya wimbo wake Bei Yake unaozungumzia jinsi kila kitu kwenye maisha ya leo kilivyo na bei yake. Video imeongozwa na Freeman Richard wa Arusha Films kupitia Proper Entertainment na wimbo umetayarishwa na Daz Naledge.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW