Habari

Video: Feza Kessy na Ammy Nando wakiongea jinsi watakavyozishindania dola laki 3

Kuna kila dalili kuwa mwaka huu Tanzania inawakilishwa vizuri kwenye shindano la Big Brother Africa The Chase lililozinduliwa rasmi jana usiku kwa show ya live. Tanzania inawakilishwa na mrembo na mwanamuziki Feza Kessy na model Ammy Nando. Hizi ni video walizorekodiwa jana wakizungumza mikakati watakayoitumia pindi wakiwa ndani ya jumba la Big Brother. Pia utatazama video ya performance ya Mafikizolo.

http://www.youtube.com/watch?v=qu-k0Haklfg

http://www.youtube.com/watch?v=_IR1PWs14rM

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents