Videos
Video: Fid Q akielezea Poetry Addiction na jinsi ilivyozaliwa ‘Kitaaolojia’
Kwa muda mrefu Fareed Kubanda aka Fid Q amekuwa akizungumzia dhana ya ‘Kitaaolojia. Kitaaolojia ni nini hasa? Ilianzaje? Mtazame Fid akielezea jinsi neno hilo lilivyozaliwa.