Muziki

Video: Future – ‘Mask Off’

By  | 

Rapa Furure ameachia video ya ngoma yake “Mask off”, nyimbo hiyo imekuwa kubwa kwake kwa kuweza kuwa namba 1 mara nne mfululizo katika chat za Billboard 200.Video hiyo imesongozwa na Director Colin Tilley.

Na Laila Sued

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments