Videos

Video: G Nako – Lucky Me

Msanii kutoka kundi la Weusi, G Nako ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Lucky Me’. Video hiyo imeongozwa na Hanscana wakati wimbo umetayarishwa na Slim Cipha Sound huku mixing na master imefanywa na Chizzan Brain.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents