Burudani

Video: Gari ya Zari yasababisha Q Boy Msafi kupigwa chini WCB

Aliyekuwa mtu wa mitindo wa Diamond Platnumz pamoja na team mzima ya WCB, Q Boy Msafi amefunguka kueleza kile kilichosababisha akapigwa chini kufanya kazi ndani ya label hiyo. Pia amefunguka kuhusu mahusiano yake ya sasa na WCB pamoja na mipango ya muziki wake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents