Videos
Video: Ghetto Ambassador ft Mansu Li – Nafanya yangu
Msanii wa muziki Bongo, Rapper Ghetto Ambassador ameachia video ya ngoma yake ‘Nafanya Yangu’ akiwa amemshirikisha Mansu Li, video imeongozwa na Mecky Kaloka. Itazame hapa.
https://youtu.be/Oyg8C5BkTOA