Msanii Goddie kutoka Morogoro, ambaye mwanzo alikuwa anafanya muziki wa gospel kwa sasa anafanya muziki wa bongo flavor style yake inaitwa afroragga ameachia wimbo unaitwa “Sunshine”. Producer anaitwa Osam kutokea Freenation na Video imeongozwa na GQ wa morogoro.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
New Video: Jamwe He Ft Chege -NadoJanuary 17, 2018 - 12:44 am
-
Video: Ivrah – TusheherekeeDecember 25, 2017 - 5:01 pm