Michezo

Video: Goli la kwanza la Samatta na Klabu yake ya KRC Genk dhidi ya Club Bruge

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana Feb 28 alifunga bao lake la kwanza katika klabu yake mpya, KRC Genk katika mchezo wa Ligi Kuu ya Ubelgiji wakishinda 3-2 dhidi ya Club Bruge Uwanja wa Cristal Arena, Genk.

samatta-1

Screenshot_2016-02-28-18-40-48-1-1

Video ya goli la kwanza la Mbwana Ally Samatta katika klabu yake mpya, KRC Genk

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents