Video: Grace Matata, Saida Karoli na Kidumu waandika historia jukwaa la Sauti za Busara

Katika tamasha la 15 la muziki la Sauti za Busara 2018, Wasanii wa muziki Saida Karoli, Grace Matata na Kidumu kutoka nchini Rwanda waliweza kukonga nyoyo za mashabiki na kuandika historia katika muziki kwa kutoa burudani kali.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW