Tupo Nawe

VIDEO: ”GSM apewe timu, tatuzungumza nini mbele ya Simba sisi,”- KIGEREGERE YANGA

Shabiki wa kutupwa wa Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Young Africans Sports Club, Anuary Nyambese kwa jina maarufu kama ‘KIGEREGERE YANGA’, ameongea kwa uchungu taarifa alizozisikia katika baadhi ya vyombo vya habari juu ya mgogoro uliopo kwa sasa baina ya Mdhamini wao GSM dhidi ya Wanajangwani hao, timu ya Wananchi Yanga.

”GSM apewe timu, tutashindwa kujimwambafai na tutazungumza nini mbele ya Simba SC. Ni nani huyo anaemzuia GSM asichukuwe timu ?,” – Akiongea kwa uchungu na masikitiko makubwa KIGEREGERE YANGA ameutaka Uongozi wake kuyamaliza matatizo hayo ambayo yanaendelea kuzungumzwa kila kona.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW