Video: “Hakuna wa kushindana na Diamond, Wakenya wanataka kumshusha Harmonize, Hii ndio list ya wasanii wabovu Tanzania” – TID

Video: "Hakuna wa kushindana na Diamond, Wakenya wanataka kumshusha Harmonize, Hii ndio list ya wasanii wabovu Tanzania" - TID

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Khalid Mohamed alimaarufu TID amefunguka mengi kuhusu muziki wa bongo Fleva hasa akiongelea kuhusu maendelo ya baadhi ya wasanii wanaoupeleka mbele muziki wa Bongo Fleva mbele.

Akiongea na Bongo5 TID ameongelea kuhusu orodha ya wasanii watano aliodai wabovu Tanzania.

Msikilize TID:

View this post on Instagram

#Bongo5Updates: Msanii wa Bongo Fleva @tidmusic amefunguka mengi sana kuhusiana na muziki wa Bonho Fleva pamoja na wasanii kwa ujumla huku akimtaja @diamondplatnumz kuwa ndio msanii anayefanya vizuri zaidi Tanzania na hapo ameeleza kwa mtazamo wake : Mbali na hili @tidmusic amejaribu kukemea vikali figisu zinazofanywa na maanii wa Kenya na Producer pia @magix_enga kujaribu kuharibu CV ya @harmonize_tz akilalamika kuibiwa beat na akasema “Kama watu wataendelea kulalamika hadi kupelekea wimbo wa msanii mwenzako kufutwa hali yakuwa hujachangia chochote wangapi watalalamika..? : @tidmusic pia ameeleza kuhusu list aliyoeweka kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ya wasanii watano wabovu zaidi Tanzania alikuwa anamaanisha nini ambao aliwataka ni 1. @iambenpol 2. @ommydimpoz 3. @officialabdukibaa 4. @mwasitij 5. Kizaizai Commissioning agents : Written and edited by @el_mandle : Interview nzima ipo YouTube ya Bongo5

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW